Msaada: Sipendi kushauriwa na mwanamke

Woowooo!!! Na kibard hiki
Kama ulijua vle[emoji7]

Mm huyoo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tena stak kuchelewa
Maana nataman kuona
Kijajo kikintoka kidogo
[emoji126] [emoji125] [emoji179] [emoji8] [emoji8]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]
 
Naona assists zako zimengezeka mnoo baada ya kukuuliza kulikoni Ukuth? Mbona una mkono wa birika hivyo? Nadhani bado unakumbuka.
Usijali mim na wew tutamalizan kesho sietiee
 
Reactions: BAK
Jifunze kuwa karibu na ibada hasa kanisani na mafundisho yake au hata ukijiunga kwaya itakusaidia kama we ni mkristo islamik pia hivohivo utaepukana na ubabe utakuwa na hofu ya Mungu juu yako hivyo utaweza kuwaheshimu na kuwasikiliza
Asante mkuu am Christianity
 
Ok fanya hivyo kaka Mungu atakuongoza sana na utaona nguvu ya ushauri ya mwanamke kuanzia hapo kanisani mpaka nyumbani na utaona umhimu wa mama pia alivyokulea na kumpa ushauri baba akakusomesha mpaka ukafika umri ulio nao bila wanawake wanaume hatuwezi kitu ndiyo maana Mungu alimletea Adamu mke wa kumshauri iwe kwa zuri au baya lkn ni ushauri tu yatupasa kuwasikiliza mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hilo ni Pepo LA Mfumo Dume
 
Let me guess- huenda unafanya hivyo sababu unajali atakuona aje ukimtii au atakudharau ukimtii. Ni sio automatic ila ni hali uliyoitengeneza akili huenda bila kujua na ni sababu uko negative, ukitaka kubadilika anzia akilini kwako, badili jinsi yako ya kufikiri juu ya mwanamke na ujilazimishe kutenda vitu positive utafanikiwa na ufikiri kuwa ukimtii mwanamke hawezi kukuona kama jinsi unavyojihisi. Be a gentleman!!
 


usijipe presha, hiyo ni dalili ya kupenda wenzako wa jinsia moja. Isikuumize sana kichwa, we achana tu na wanawake uwe unatoka na wanaume wenzako utawasujudu kinoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…