Msaada sina mtoto mpaka sasa

Uchawi upo...ila kuna njia za kujikinga...Kuna dua hii nakufundisha uisome wakati unaaza kumuingilia mkeo......"Ewe Mola wetu Tunajikinga kwako na shetani katika tendo letu hili...na tunamkinga na shetani pia yule utae tubariki katika tendo letu hili".....Insha-Allah Mwenyezi Mungu ataisimamisha mimba hio.....
 
Ina maana sister anasikiliza maongezi ya wakubwa? Think hommie think

kuishi uswahilini shida....watu wanafanya mazungumzo kwenye dirisha langu nami nitafanyaje...nabidi tu nisikilize maongezi yao.....
 
Hahahaa yaani umefanikiwa kunivunja mbavu ngoja niombe mwongozo

Cc Mtambuzi Asprin

Mwongozo ni huu.

Hata Petro alimkana Yesu mara tatu lakini bado alikabidhiwa Kanisa.

Wanaokikana chama ndo wenye mapenzi makuu na chama.

Think cheaman, stuka!!!

source: Wasira.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu safi kwa ushauri mzuri.

Namba ya mwisho inahusiana vipi na tatizo la mke wake mimba kutoka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…