Msaada sina mtoto mpaka sasa

akuloge unanini. Mpeleke mkeo kwa hospital nitatizo dogo. Mke mjamzito ni kama yai ya maisha plus
 
Mi ni mwanaume Mimba zangu zote ninazompa mke wangu zinatoka nahis nimefanyiziwa na mwanamke ambaye nimewahi kutembea nae kabla sijao nifanyeje. mimba 4 zmetoka sielewi au nimelogwa.! NIMEFANYIZIWA MWANAMKE MIMBA ZOTE ZINATOKA USHAURI WAKO

Ni kitu gani kilichokupa hisia kuwa anayesababisha hayo ni ex wako!!!?

Je, mshaenda kwa tabibu kujua tatizo ni nini hasa!!?

Je, unaamini kama Mungu ndiye muweza wa yote!?
 

Pia yawezekana mke wake ametoa mimba siku za ujana wake mpaka kizazi kimelegea kikawa mdebwedo
 

we mshirikina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…