betting machine
Senior Member
- Aug 12, 2025
- 138
- 227
Ukisikia tatizo la nguzu za kiume, wewe kwa tafsiri yako unaelewaje?Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Una tatizo la mshipa au ngiri!!lipo deep sana hasa kule kwenye Rectum mfuko wa kinyesi!!!Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Kaoe kwanza kisha nguvu zitakuja hukohuko.Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Eti eenh?Acha ushog
Umejuaje?Aliyekwambia una tatizo kakudanganya, mbona wanaume wote kusimamisha ni kazi.
Usimdanganye, akishindwa kusimamisha asubuhi/alfajiri hilo kweli ni tatizo.Aliyekwambia una tatizo kakudanganya, mbona wanaume wote kusimamisha ni kazi.
Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi nikiamka haisimami naombeni sana msaada wenu
Labda ulienaeAliyekwambia una tatizo kakudanganya, mbona wanaume wote kusimamisha ni kazi.
Wazee wa kutumia fursaJapo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.
Andaa Tsh 1,000,000/= kama gharama ya dawa, then tafuta mwanamke, ukishapata hivyo viwili nipigie kwa Namba nitakayokupatia hapa chini.
Utakuja nilipo, nitakupa dawa (mwanamke utakayekuwa naye ni kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo), yaani dawa hiyo unakunywa Kisha kinafuata kitendo (ingawa si dawa zote ni za kunywa).
Tambua hivi, utaondoka baada ya kujiridhisha kuwa kazi inafanyika kisawasawa na inasonga mbele.
Dawa hiyo hata yule hajawahi simamisha kabisa inamfaa.
N.b. Kama hutakuwa na mwanamke aliye tayari kusafiri na wewe, utakuja na nitatafuta mwanamke hukuhuku (utakuja na pesa ya kumlipa huyo mwanamke atakayekuwa na wewe kukuhudumia kitandani).
Pia, kama shughuli zako zitakubana usiweze kusafiri kuja nilipo, utalipia usafiri wa Mimi kukufuata ulipo. Nitakuja, nitakupa dawa muhimu lazima uwe na mwanamke kwa ajili ya practical (maana ili ujue kama dawa inafanya kazi, ni lazima baada ya kunywa ufanye kitendo sasa si kunywa dawa tu).
Kama kweli uko serious na tatizo, nipigie katika Namba.
0650 140 211
KwakoUmejuaje?
Mkuu Wacha hizo plz millioni moja yote hiyo ya nini wakati tiba zipo za uhakika kabisa kwa gharama kidogo tu.. Wacha tamaa...Japo tangazo nitaleta rasmi kuanzia mwezi wa nane, ila ngoja nikupe kwa kuanzia.