msaada simu za androids

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
habari zenu wana jamii, nitafurahi kama nitapata msaada kutoka kwenu hasa kutoka kwa mabigwa wa gadgets, natafuta simu inayotumia os ya android ya bei nzuri kama laki 3 mpaka 4 hivi hapo bongo (mimi niko mikoani) nitafurahi kama mutanijuza make na model ya simu yenyewe na maduka zinapopatikana natanguliza shukurani zangu
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,293
1,845
Tafuta ZTE Blade nadhani ndo best budget Android phone bei halisi ni kama laki 3, ila bei za bongo sijui.
Kama unataka ya bei ndogo kabisa cheki Huawei Ideos sijui bongo wanauzaje ila Kenya ni under $100.
 
Jan 5, 2011
7
1
Hapa Arusha Huawei ideos naweza kupata kwa 160,000 bila accesories zake ila nilisikia tigo wanaziuza kwa 198,000 mpya kabisa ila ni mpaka Dar
 

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
kwa kifupi simu za android ni simu zinazotumia google android operating system sawa na kwa mfano simu za nokia zinavyotumia symbian os. kwa maelezo zaidi na ya kina ingia kwenye google watakujuza vizuri
 

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,031
1,812
Ey nataka help jamani natafta MOTOROLA Q9h....nashida na dat kind of 4n nipo Dar
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom