mambo ya firmware
ndio ugonjwa wa w4 na w5habari wanajamiiforums ,nna simu tecno w4 nikiiwasha inaandka tecno af inazma ukiwasha tena bado inakua ivo ivo,nmejarbu kuifanyia hard reset ila bado n vile vile
hio lazima upeleke tecno imekufa tayari hata uki flash haifaina imenisumbua sana kwa hlo tatzo
Hivi saketi huwa zinaingiliana yani kwa mfano ninaweza nikachukua simu ya spea nikaenda nayo akanibadilishia. Au hadi ipatikane ya simu husika.na kama ni saketi badili saketi si chini ya elfu 60K
Hadi ipatikane ya simu husika ,Hivi saketi huwa zinaingiliana yani kwa mfano ninaweza nikachukua simu ya spea nikaenda nayo akanibadilishia. Au hadi ipatikane ya simu husika.