Msaada: Simu yangu (iPhone) haisapoti Simcard

Msaada: Simu yangu (iPhone) haisapoti Simcard

STimira

Senior Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
133
Reaction score
24
wanajamii, nashukuru kwa msaada wenu kwani nimephanikiwa kurestore software ya simu yangu ya iphone. ila sasa kuna tatizo moja , kwamba inakataa sim kadi inaniambia kuwa haisapoti. je, kuna msaada zaidi naweza pata ili kuifanya simu iweze kuwa full active??? nimeweka laini ya zain na network iko sawa ila inaniambia simu kadi hii haiko supported, msaada wakuu!!!!
 
nashukuru sana wadau na hasa mdau MKWATIS kwa maelekezo na ushauri kuhusu tatizo langu la iphone. sasa limeisha na simu yangu ipo bomba kabisa. my appreciation pals!!!
 
Back
Top Bottom