majuto mbedule
Member
- Sep 22, 2016
- 6
- 2
Samahani jamani, simu yangu huawei y360 ilianguka sasa kila nikijalibu kuwasha inanicommand kureboot ila nikiiboot hairudi wala haiwaki na nikiwasha inawaka na kuzima tena inawaka na kuzima nainajirudiarudia hivyo hivyo kwa hiyo naombeni msaada wenu