Msaada: Simu yangu inajiweka Loud Speaker

mbwadinho

Senior Member
Jun 29, 2016
180
102
Habari za mujukumu WanaJamiiForums,

Ninaomba msaada wa kufahamu jinsi ya kutatua tatizo la simu kujiweka loud speaker bila kubonyeza sehemu ya loud speaker mara unapopokea simu

Asanteni
 
Back
Top Bottom