samahani ndugu zangu,nina cm nokia c2 imeacha ghafla kudisplay.ukipigiwa inaita vizuri tu na sms unazisikia zikiingia ila screen ndo ipo giza tu. naomba msaada wenu mwenye wazo la kiufundi,nifanyeje ili iweze kudisplay tena? ntashukuru kwa msaada wenu.