Msaada: Simu ipo slow sana, tatizo nini?

Msaada: Simu ipo slow sana, tatizo nini?

hamisha vitu vyako kwenye pc kama pics na video na files zingine zinazo hamishika kama ni za umuhimu kisha Fanya FACTORY RESET Uanze upya tu hakuna namna
uzuri ni kwamba ufundi wake ni being nafuu sasa hz za Samsung na iPhone ufundi wake ni km simu mbili za tecno bomba kabisa na uchumi huu mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom