Msaada: Simu inaingiza chaji badala ya % kupanda zinashuka

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
 
Chaji zinashuka halafu unasema inaingiza? Sema inanyonya charge
 
Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
Wee umefanya kosa geuza hiyo cm juu chini weka chaji alafu leta mrejesho[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
irestore tena ikizingua rudia tena halafu lete mrejasho
 
Kuna watu wageni jukwaa hili eh? Sergio 5,buffalo44 hili jukwaa sinla wapuuzi kama nyie!
Majukwaa yenye nafassi ya mzaha yapo ,jukwaa hili ni la wataalam na watu wenye mahitaji ya utatuzi wa kitaalam tafadhali pelekeni sehemu nyingine hivyo vichwa vyenu vibovu !mods mtanisamehe kwa manenoakali kidogo ila nina ombi kwa unyeti wa jukwaa hili naomba kama itafaa ban zihusu kwa mtu atayeingiza upuuzi jukwaq hili!
 
Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
Wewe mkuu hata hufikirii kuwa betri ya hiyo simu mbovu hilo nalo mpaka uje jf kuomba ushauri nunua betri jipya weka ktk simu endelea kuchangia hoja
 
Je unatumia chaja yake OG?:

tuanzie hapo kwanza
 
Simu nyingi zimengiwa na hilo tatizo siku hizi... Badala ya charge kupanda, inashuka...

Sijui ni umeme wa Tanesco au ni nini?

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom