Msaada: Simu inaingiza chaji badala ya % kupanda zinashuka

Msaada: Simu inaingiza chaji badala ya % kupanda zinashuka

Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
Vip kuhusu system charge yako nzima kwel, na una mda gan toka umenunua hiyo simu
 
Betr yake imekufa,nunua nyingine na maisha yataendelea kama kawaida
 
Tumia chaja yenye output kubwa. Chaja nyingi za kuchina output ni ndogo sana(hazifai), hutumia muda mrefu kujaza betri.

Au unapoona inafanya hivyo ondoa betri kwenye simu kwa dk chache kisha rudishia tena na uanze kuchaji.
 
Simu nyingi zimengiwa na hilo tatizo siku hizi... Badala ya charge kupanda, inashuka...

Sijui ni umeme wa Tanesco au ni nini?



Cc: mahondaw
Inatokea hiyo... Umeme wa Tanesco nahisi kuna mda unakua unstable yan kuna siku ukichaji simu inakawia kujaa na km unachaj huku unatumia bhas percentage zinashuka badala ya kupanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom