Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,223
- 1,520
Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
Bepari unanunua nyingine, hio gawia maskini. Hizo ndio sifa za Mabepari.Wakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
Tatizo ni vioo vya Samsung na Sio simu za Samsung, simu zote flagship between 2020-2022 ambazo zilitumia vioo vya Samsung zilipatwa na hilo tatizo bila kujali brand husika.Hiyo ni kawaida sana kwa simu za Samsung hasa Kwa S series or note za zamani. Bora ununue A series tu au brand nyingine kama Xiaom.
So kumbe hzi green line na pink lines ni kutoka vioo vya Samsung pekee basi nilijua ni kampuni zote za display wanna hili tatizo especially hzi one plus ndo naona wanacases nyingi mno za green line displayTatizo ni vioo vya Samsung na Sio simu za Samsung, simu zote flagship between 2020-2022 ambazo zilitumia vioo vya Samsung zilipatwa na hilo tatizo bila kujali brand husika.
Sony, Iphone, Xiaomi, Oneplus etc zote zinatoka hio mistari.
Ndio mkuu wameshafix kwa device mpya,So kumbe hzi green line na pink lines ni kutoka vioo vya Samsung pekee basi nilijua ni kampuni zote za display wanna hili tatizo especially hzi one plus ndo naona wanacases nyingi mno za green line display
So Samsung washafix hili tatizo kwa generation za mbele za vioo?
Sasa kwa nini hadi S24 Ultra nayo ilianza kuleta shida ya Green Lines, au wamefix kuanzia S25 seriesNdio mkuu wameshafix kwa device mpya,
Ila Sony, iPhone na Xiaomi case sio nyingi sana kama Samsung na One PlusTatizo ni vioo vya Samsung na Sio simu za Samsung, simu zote flagship between 2020-2022 ambazo zilitumia vioo vya Samsung zilipatwa na hilo tatizo bila kujali brand husika.
Sony, Iphone, Xiaomi, Oneplus etc zote zinatoka hio mistari.
Greenline zipo simu zote, ila ni rare, unakuta maybe simu 1000 ni moja tu ina line, kwenye s20-22 na equivalent Flagship zake zina line to the point almost watu wote wanapata. Ndio maana hizo models ukipata Green line matengenezo ni bure.Sasa kwa nini hadi S24 Ultra nayo ilianza kuleta shida ya Green Lines, au wamefix kuanzia S25 series
![]()
Galaxy S24 Ultra users are complaining about a thin green line appearing on the screen
Source: Phone Arena Galaxy S24 Ultra users are complaining about a thin green line appearing on the screen. Some Samsung Galaxy S24 Ultra users are complaining about seeing a thin green line running vertically down their phones' displays...xdaforums.com
Asikwambie mtu Sony mkuu, zina line balaa, Kama miaka kadhaa iliopita nilikua na recomend watu humu xperia 5 II, kuna ndugu zangu pia niliwashauri wachukue hizo simu wote wana line tena sio moja ama mbili bali line zinafika 20 na kitu. Kupata ushahidi zaidi nenda fb marketplace search xperia 5 II utaona.Ila Sony, iPhone na Xiaomi case sio nyingi sana kama Samsung na One Plus
Hapo nina swali. Kama vioo vya Samsung ni high quality kuliko TCL kwa nini ndio vinapata green lines?Asikwambie mtu Sony mkuu, zina line balaa, Kama miaka kadhaa iliopita nilikua na recomend watu humu xperia 5 II, kuna ndugu zangu pia niliwashauri wachukue hizo simu wote wana line tena sio moja ama mbili bali line zinafika 20 na kitu. Kupata ushahidi zaidi nenda fb marketplace search xperia 5 II utaona.
Xiaomi Anatumia Oled za TCL ambazo quality si nzuri kama Samsung na Boe ila Ali dodge Bullet kwenye quality control.
Iphone pia kwa mda mrefu sana simu zake entry level anatumia Lcd ama Oled za low quality ila zile top pro max nazo zina line za kutosha tu.
Sio midrange zote za Samsung zinatumia Oled za Samsung nyingi zinatumia Boe display.Hapo nina swali. Kama vioo vya Samsung ni high quality kuliko TCL kwa nini ndio vinapata green lines?
Halafu A series za Samsung sisikii zikipata green lines na ni OLED za Samsung huyohuyo. Sababu ni nini haswa?
Sawa mkuuSio midrange zote za Samsung zinatumia Oled za Samsung nyingi zinatumia Boe display.
Halafu display zilizoathirika ni specific model iliotoka huo mda.
Na hapa Tunaongelea quality kwa maana fahari ya macho kile unachoona, ila quality kwa maana ya durability vipo vingi vya lowend vinadumu sana kuliko highend, havina Curve, bezell kubwa etc.
Yes zamu ya mafundi kulaWakuu msaada ,simu aina ya samsung s21 imetoa mistari kwenye kioo
Mkuu nimeona mtu anauza one plus 11 Kwa 900k ina storage ya 512 ila ni used vipi hpo panafaa??Sio midrange zote za Samsung zinatumia Oled za Samsung nyingi zinatumia Boe display.
Halafu display zilizoathirika ni specific model iliotoka huo mda.
Na hapa Tunaongelea quality kwa maana fahari ya macho kile unachoona, ila quality kwa maana ya durability vipo vingi vya lowend vinadumu sana kuliko highend, havina Curve, bezell kubwa etc.
Ni kweli natumia Sony Experia 5 mark 11 green line iko tayariAsikwambie mtu Sony mkuu, zina line balaa, Kama miaka kadhaa iliopita nilikua na recomend watu humu xperia 5 II, kuna ndugu zangu pia niliwashauri wachukue hizo simu wote wana line tena sio moja ama mbili bali line zinafika 20 na kitu. Kupata ushahidi zaidi nenda fb marketplace search xperia 5 II utaona.
Xiaomi Anatumia Oled za TCL ambazo quality si nzuri kama Samsung na Boe ila Ali dodge Bullet kwenye quality control.
Iphone pia kwa mda mrefu sana simu zake entry level anatumia Lcd ama Oled za low quality ila zile top pro max nazo zina line za kutosha tu.