Msaada,Simu Inaji_restart automatically

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wadau habari,nilinunua simu (tecno-spark7) smartphone mpya K.koo,shida inaji_restart,Carlcare (mafundi maalum wa tecno phones) nimeenda bado hali ni ile ile.

Duka nililonunua wanasema wanaoweza kunipa/kunibadilishia simu mpya ni hao hao Carlcare baada ya kushndwa kufix problem kwani wao na tecno ndio wasambazaji wasimu nchini (japo siamini hili).

Msaada kwa yeyote ambaye alishawahi kukutana na scenario hii,alitumia mbinu gani kupata haki yake au kukarabati simu isijiwashe yenyewe.

Ahsanteni na karibuni kwa ushauri.
 
Mkuu kwa maana ya factory reset?
Hii nmefanya,lakini tatizo lipo palepale
 
Wakati ule nadeal na ufundi simu kuna simu moja ya Tecno ni pasua kichwa ilikua ikifikia kwenye kujirestart hiyo ni haiponi tena. Nafikiri ilikua ni W3 nimeshasahau.

Jaribu kubadilisha firmware kabisa.

Download firmware ya spark 7.

Download na Miracle Loader au SP flash tool.

Tumia miracle loader au SP flash tool kuinstall hiyo firmware.

Kama hadi ukibadili firmware mambo yanajirudia itakua ndiyo msala kama wa W3 hapo kinachobaki ni kutafuta mashine nyingine na kuivalisha vioo ya hii mbovu.

Solution nyingine ingawa ni long shot hebu cheki kama button hazijajing'ang'ania.

Ila kama simu ipo ndani ya warranty kwanini usiende na polisi kwa waliokuuzia?
 
ukitumia box kama UFI kuiformat na kuanza kuingiza firmware mpya inaweza kubali
 
Back
Top Bottom