Msaada simu imegoma kutuma SMS

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
881
1,000
Wakuuu natumaini hamjambo wote,

Simu yangu aina ya infinix hot 8 imegoma kutuma SMS kwenye namba yeyote tatizo lilianza mchana nikakorokochoa sana nikafanikiwa kutoa jioni hii tatizo limerudi na kifurushi cha sms ninacho mpaka tarehe 21mwezi huu.
 

Trainee

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,112
2,000
Tips ninazojua mimi

1. Message centre (hii kitu nina uhakika umecheki ila cheki tena)
2. Matatizo ya kimtandao (mfano TTCL na Zantel na Vodacom wakiamuaga hutatuma sms hata usujudu)
3. Restart (jaribu ku restart au reboot)
4. Customer care (jaribu kutafuta simu ya ziada upige huduma kwa wateja ukiwa umeshika simu yako, huwa wanatoa msaada na wao)

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

project planner

JF-Expert Member
Jul 8, 2019
881
1,000
Tips ninazojua mimi

1.Message centre (hii kitu nina uhakika umecheki ila cheki tena)
2. Matatizo ya kimtandao (mfano TTCL na Zantel na Vodacom wakiamuaga hutatuma sms hata usujudu)...
Mkuu hii message center kidogo inanipiga chenga msaada kidogo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom