Msaada: Simu haisomi internet connection nikiweka laini ya halotel

Msaada: Simu haisomi internet connection nikiweka laini ya halotel

Mkuu ukifika seheme ya Apn kama huzion bonyeza menu ya simu itategemea ipo upandagani wa simu yako kushoto au kulia. (Sio back key ile yenye alama ya mshale ulio jikunja)
 
We

Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.
Sawa kabisa mkuu.
Kwa kuongeza kidogo, utakuta neno "Name" mwanzoni kabisa, uki-click neno hilo, utakuja ukurasa, andika neno 'halotel' halafu una-click 'ok' kwenye keyboard ya simu yako. Neno hilo(halotel) litakuwa saved
Baada ya hatua hiyo hapo juu kukamilika, bonyeza neno la pili kwenye orodha, yaani APN. Ukija ukurasa wa kuandikia, jaza neno "Internet" halafu uli-save
Baada ya hapo nenda kwenye neno la tatu, yaani APN type, ukibonyeza zitakuja options mbalimbali, chagua "default".
Zisevu settings zako.
Hapo kazi itakuwa imekwisha ' and you are good to go'. Enjoy mkuu...
 
We

Weka laini ya halotel kisha nenda kwenye APN kama huoni kitu bonyeza menu button kwenye simu yako (yaani chini maana kuna back home na menu). Ukifanya hivyo yatajitokeza maneno add APN/newAPN click kisha fuata maelekezo ya wadau hapo juu kuweka APN za halotel.
Sawa Kabisa zitakuja hata mm Kuna siku ili isumbua
wakuu nashukuru nimefanikiwa baada yakufuata maelekezo yenu hapo juu.Shukrani sana wadau
 
Back
Top Bottom