Hizo Box Zinafanyeje Mkuumkuu sprint ni mtandao wa cdma, una uhakika mwanzo ilikuwa inashika hio 3G? 4G yao pia ni band tofauti.
band zao za 4G ni
-LTE band 2(1900), 4(1700/2100), 5(850), 12(700), 25(1900), 26(850), 41(2500) - G920P
za 3G (CDMA)
-CDMA2000 1xEV-DO - G920P
na inawezekana mwanzo ilikuwa unlocked, then wewe umeiflash na kueka firmware ambayo ipo locked then umeilock upya simu.
hapa mkuu uhakika zaidi waone watu wenye box zinazoflash/unlock hizo simu.
zinaflash na pia zina unlock, kama upo tayari ku hustle unaweza tafiti box husika na kujaribu kuangalia kama crack zake zipo, ila uhakika ukitafuta fundi ambaye analo utasolve hilo Tatizo.Hizo Box Zinafanyeje Mkuu
Mkuu Mkwawa kwahio Kama simu inaandika invalid sim ndo ipo Locked sio? na ni kweli kwamba Fundi anaeza ku unlock kwa kutumia hio Box?zinaflash na pia zina unlock, kama upo tayari ku hustle unaweza tafiti box husika na kujaribu kuangalia kama crack zake zipo, ila uhakika ukitafuta fundi ambaye analo utasolve hilo Tatizo.
cheki kama hapa
g920p version 7 root & unlock done - GSM-Forum
hio ni moja ya sababu mkuu, sababu line za cdma na gsm hazifanani simu ya cdma haitaweza soma line ya GSM.Mkuu Mkwawa kwahio Kama simu inaandika invalid sim ndo ipo Locked sio? na ni kweli kwamba Fundi anaeza ku unlock kwa kutumia hio Box?
Mkuu kwa Dar es salaam nitapatiaa wapi!
jamejaa kibao aggrey hayo mabox, sema ukienda kichwa kichwa watakupiga laki 1Mkuu kwa Dar es salaam nitapatiaa wapi!
ndio hao wa ku unlock mkuu, hebu jaribu kumuona Mwl.RCT kwanza kama anazitoa hizo.Dooh Mimi nataka wani unlockie wao sitaki Box...Je itacost sh ngapi?