Msaada: "SIM 1 not allowed"

Msaada: "SIM 1 not allowed"

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,269
Habari ndugu zanguni
Naombeni msaada juu ya hili tatizo, simu yangu inatumia LINE mbili sasa baada ya kufanya system update limeibuka tatizo la "SIM 1 not allowed". Nimejaribu kurestart simu, tatizo likapotea kama dakika kadhaa halafu likarudi tena.
Kuna mtu aliwahi kukutana na hili tatizo na alilitatuaje, aina ya simu ni Samsung. Msaada tafadhali, natanguliza shukrani
 
Hio simu sio ya mtandao wa simu kwamba line 1 ilikuwa locked?

Pia angalia sometime inawezekana umeweka line 1 off kwenye setting
 
Kwanza kabisa taja model ya simu piga na picha kabisa weka hapa ili tuone
 
Hio simu sio ya mtandao wa simu kwamba line 1 ilikuwa locked?

Pia angalia sometime inawezekana umeweka line 1 off kwenye setting
Kwenye setting line 1 ipo ON, kuhusu kuwa locked hapo ndio sifahamu mana kabla ya kuupdate system, hii shida haikuwepo. Nashukuru kwa reply yako mkuu
 
Kwanza kabisa taja model ya simu piga na picha kabisa weka hapa ili tuone
Model number ni SM-A105F
Kwenye SIM card status inaonesha hivi
20210921_090433.jpg
 
Tatizo la android mtu anaweza kubadili hio model kupitia software. Kwa Samsung mpaka uingie download mode ndio unajua exactly model
Kwel I mdhee ila kwa shida ya net inakua sio tatzo sana endepo utajua ni pass au NG
 
Mkuu nashukuru sana, nimejaribu kureset network kama ulivyonielekeza naona notification ya "SIM 1 not allowed" imepotea. Mungu akubariki sana
20210921_101358.jpg
 
jaribu kuswitch sim card mi ilinitokea ila nikaizima nikaiacha kwa masaa kadhaa ikakubali ni samsung pia
 
jaribu kuswitch sim card mi ilinitokea ila nikaizima nikaiacha kwa masaa kadhaa ikakubali ni samsung pia
Nashukuru ndugu kwa kureply, mwanzo kabisa kabla ya kuanzisha huu uzi niliirestart tatizo likapotea na baadae likarudi tena
 
Back
Top Bottom