Msaada: Siku hizi nimekuwa mkali ghafla

Msaada: Siku hizi nimekuwa mkali ghafla

Ndugu nahitaji msaada wa haraka maana mpaka kufikia hivi sasa nishapiga watu 6 hii ni kwa Leo tu sikwambii siku zilizopita..
Mjumbe wa Nyumba kumi Leo kazingua a fire hivi yuko Amana kwa matibabu zaidi..
Msaada wa haraka namna ya kucontrol hii hali...
Nb: Mawaidha na kufukuza mapepo sihitaji maana huenda mchungaji nikamuwashia vilevile

Kwa uzi wa aina hii kwenye forum kama hii inaelekea hakuna maana tena ya international forum
 
Maisha yamekubana shida hapo ni magu wengine wanaingilia adhabu za magu habu mfuate pale gogoni mpe kichapo hasira zitaisha
 
Back
Top Bottom