Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana ya
Eglish A
Kiswahili A
Hisabati B
Sayansi C
Study's c
Kwa matokeo hayo natamani nipate shule ya govement ya bonding na iwe ya girls. Ambayo ni nzuri ,napendekza mikoa minne ,singida ,arusha, moshi, na manyara ,au dodoma pia ,mm nipo manyara ,babati mjini,

Nisaidie kujua shule nzuri na kuweza kumpeleka mtoto ,maana hata yeye anasema baba mm nataka kusoma sana lakin nitafutie shule nzuri ya bonding, shule aliye chaguliwa ni ya day ,kata, Asante mwenye kufahamu shule nzuri anisaidie jina la shule ,kama unamawasiliano ya shule husika pia nitashukuru sana ,
Njoo pm mkuu
 
Mkuu kuna watoto wamepata A na wamepangwa shule za ajabu, pole sana.
Mimi mdogo wangu amepata A nne isipokua English ndo kapata B na kapangwa shule kimeo tena day school na ni wa kike, imeniuma sana.
 
Hawezi kutoka day aingie boarding na sio bonding ndg, sheria hiyo imekuwepo muda mrefu sasa kwa government labda apate shule day lakini zina hostel .vinginevyo mpeleke za binafsi private japo kupata nzuri muda huu umeshachelewa sana
INAWEZEKANA NI CONNECTION TUU...nilihama advance azania nilikuwa day nikahamia iyunga tech bweni......ILA KWA MIAKA HII NI BORA AJIKAMUA AMPELEKE PRIVATE TUU SERIKALINI HAKUNA KITU
 
Sababu ni wa kike komaa mkuu apate bweni na ya single, la sivyo kwa shule zetu hz mfunge GPS ya shingo au alarm ya kwenye kufuli, mana mtoto wa kike akikua badala ufurah stress, akiwa nyumbn akienda hata uwan stress, akienda shule stress, akienda kanisan stress, akienda tutionu stress, ukiondoka wewe ukamuacha nyumbn stress, akishika simu stress inafka hatua akianza kusuka na malotion ya kutosha room stress inabidi mzazi ujiongeze fasta kabla hujaona manyoya. Aliekushaur mazinde juu ni bonge ya shule shughuli yake iskilizie top ten kila mwaka, wasipoingia Top ten skilizia T.O, hawaepukiki , mdg wangu kapelekwa pale. Ila umechelewa walishafanya interview zamani sanaaa na matokeo tayar nayo zaman tu.
 
Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana ya
Eglish A
Kiswahili A
Hisabati B
Sayansi C
Study's c
Kwa matokeo hayo natamani nipate shule ya govement ya bonding na iwe ya girls. Ambayo ni nzuri ,napendekza mikoa minne ,singida ,arusha, moshi, na manyara ,au dodoma pia ,mm nipo manyara ,babati mjini,

Nisaidie kujua shule nzuri na kuweza kumpeleka mtoto ,maana hata yeye anasema baba mm nataka kusoma sana lakin nitafutie shule nzuri ya bonding, shule aliye chaguliwa ni ya day ,kata, Asante mwenye kufahamu shule nzuri anisaidie jina la shule ,kama unamawasiliano ya shule husika pia nitashukuru sana ,
Mlete Arafah islamic seminary secondary school ipo Tanga mjini.

Kwa elimu na maadili bora kwa kijana wako, kuna shule ya arafah boys ipo mkabala na ofisi za tigo makao makuu tanga mjini, na ipo arafah ya waschana ipo mtaa wa msambweni Tanga mjini.

0718754110
0788685390
0767036797
0625593405
Karibu sana arafah islamic seminary secondary school.

Yaliyopo arafah.

Katika upande wa dini tunahifadhisha QURAAN na hadithi za mtume, bado hujachelewa .
 
Mkuu kuna watoto wamepata A na wamepangwa shule za ajabu, pole sana.
Mimi mdogo wangu amepata A nne isipokua English ndo kapata B na kapangwa shule kimeo tena day school na ni wa kike, imeniuma sana.
Ada zetu ni nafuu sanaaa, pia unalipa kwa awamu tatu.

Ada ya day ni laki tano na hamsini unalipa kwa awamu tatu kidogo kidogo kwa kiasi ulichonacho ndani ya miezi kumi.

Boarding 1.5 unalipa kwa awamu nne kwa kiasi ulichonacho ndani ya miezi 10
 
Mlete Arafah islamic seminary secondary school ipo Tanga mjini.

Kwa elimu na maadili bora kwa kijana wako, kuna shule ya arafah boys ipo mkabala na ofisi za tigo makao makuu tanga mjini, na ipo arafah ya waschana ipo mtaa wa msambweni Tanga mjini.

0718754110
0788685390
0767036797
0625593405
Karibu sana arafah islamic seminary secondary school.

Yaliyopo arafah.

Katika upande wa dini tunahifadhisha QURAAN na hadithi za mtume, bado hujachelewa .
Kitaalun mpoje!?
 
Weruweru sio vipaji maalumu...za vipaji ni tabora girls,kilakala na msalato plus na kisimiri though ni mixture
Shule yeyeto ya serikali inayochukua watoto wa jinsia moja tu huingia kwenye category hii ya Shule maalumu.
Wale unaowaona wanaingia hapo kwa wastani wa chini ni wale wanaochaguliwa chaguo la pili, ni nafasi zimewekwa kama ulaji kwa walimu wakuu, afisa elimu na maafisa wengine kujipatia fedha kidogo maana ukitaka mwanao apate Shule nzuri kwenye chaguo la pili basi lazima ule sahani moja nao.
 
Shule zote za bweni za serikali wamechukua pure/cream kabisa yaani wenye wastani wa A...kama unataka mwanao asome vizuri adjust bajeti yako mpeleke private...kwa hapo kwako Manyara uanweza mpeleka hapo St.Pio Kibaigwa ni wazuri na Ada zao zipo chini sana.
Iyo ada ya chini sana ni kiasi gani
 
Shule nzuri za Serikali ni:
I/ Vipaji Maalum kama Tabora girls, Weruweru etc
2/ Shule za Ufundi kama Tanga, Moshi etc
3/ Za Bweni kama Songea na Korogwe girls etc
Ila bahati mbaya wote hao wamechukuwa wastani wa "A" hivyo ili upate nafasi ni lazima uvae Shati la Mikono Mirefu!
Wangu kapata A zote tano wamempangia shule ya kata tena ya day cna hamu kwa kweli
 
Polee sana Mkuu, kuna kautaratibu ambako si rasmi lakini ndo wanafanya hv sasa yani wanawapa Kipaumbele sana Wanafunzi waliopo kwenye Mkoa ambamo Shule hiyo ipo, hivyo nafasi zikibaki ndo wanachukuwa kwenye Mikoa mingine..,
Mwaka Jana na mm nilikuwa Mhanga wa hilo ila nashkuru nilimpeleka Technical school, nafasi huwa zinakuwepo coz wengi wanaochaguliwa wanaenda Private!
 
Inabidi tupambane na hali zetu kwa kweli.
 
Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana ya
Eglish A
Kiswahili A
Hisabati B
Sayansi C
Study's c
Kwa matokeo hayo natamani nipate shule ya govement ya bonding na iwe ya girls. Ambayo ni nzuri ,napendekza mikoa minne ,singida ,arusha, moshi, na manyara ,au dodoma pia ,mm nipo manyara ,babati mjini,

Nisaidie kujua shule nzuri na kuweza kumpeleka mtoto ,maana hata yeye anasema baba mm nataka kusoma sana lakin nitafutie shule nzuri ya bonding, shule aliye chaguliwa ni ya day ,kata, Asante mwenye kufahamu shule nzuri anisaidie jina la shule ,kama unamawasiliano ya shule husika pia nitashukuru sana ,
Vyuma vimekaza and ze girisi iz not izile foundi nawadeizi.
 
Mlete Arafah islamic seminary secondary school ipo Tanga mjini.

Kwa elimu na maadili bora kwa kijana wako, kuna shule ya arafah boys ipo mkabala na ofisi za tigo makao makuu tanga mjini, na ipo arafah ya waschana ipo mtaa wa msambweni Tanga mjini.

0718754110
0788685390
0767036797
0625593405
Karibu sana arafah islamic seminary secondary school.

Yaliyopo arafah.

Katika upande wa dini tunahifadhisha QURAAN na hadithi za mtume, bado hujachelewa .
shule ya wachumia tumbo hii.

Kama unabisha wekatmatokeo yake ya NECTA
 
Back
Top Bottom