Msaada: Shule ya Serikali nzuri ( Kwa O - Level) ni ipi?

Ada zetu ni nafuu sanaaa, pia unalipa kwa awamu tatu.

Ada ya day ni laki tano na hamsini unalipa kwa awamu tatu kidogo kidogo kwa kiasi ulichonacho ndani ya miezi kumi.

Boarding 1.5 unalipa kwa awamu nne kwa kiasi ulichonacho ndani ya miezi 10
Masomo ya sanaa hamna kitu hata apate A zote.
Sayansi ndo mpango na Habari ya mujini
 
Back
Top Bottom