markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 846
Naomba kujuzwa hivi hawa wanafunzi waliochaguliwa awamu ya pili na hawajapangiwa shule wala combination (tahasusi) je watapangiwa kabla ya muda wa kujiunga kidato cha 5 haujafika? Ama wanasubiri watakaoshindwa kuripoti muda utakapoisha ndio hawa wapate nafasi? Nina mdogo wangu jina lake limetoka awamu ya pili naomba msaada wa ufahamu ili nichukue uamuzi asije akapoteza muda