Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Wakuu,

Naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia kuimba imba tu.

Wale watakaoshauri kanisani asanteni sana ila kila kitu kina nafasi yake ya kaisari tunampa kaisari.

Tujuzane wakuu, natanguliza shukrani.
 
Reactions: Lee
Coco beach-jtano
Escape one-alhamisi
777-ijumaa
Samaki samaki-jtano
 
White Sand - Mbezi Beach Kila siku
 


Mburahati mkabala na Shule ya Mianzini, huwezi kupotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…