Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

Attachments

  • 20190830_120139.jpg
    20190830_120139.jpg
    77.1 KB · Views: 25
Hadi sasa nishapata tex palace na glonency hotel.

Room zao bei gani?

Nishazoea nalala hapo barabarani kama kuku, Midland au Flomi, nachochukia ziko road sana.

Ngoja jumamosi nakua Moro nitazitafta hizo.
 
Kuna hostel flan ni za RC zipo njia ya kwenda hospital ya mkoa kwaa mbele zipo vizuri sana utulivu wa hali ya juu parking na usalama wa kutosha. Wala hutosikia wale wanaoliaga usiku
 
Alikuwa Analala Adam Malima Akaibiwa SMG Iko Sawa
 
Kuna hostel flan ni za RC zipo njia ya kwenda hospital ya mkoa kwaa mbele zipo vizuri sana utulivu wa hali ya juu parking na usalama wa kutosha. Wala hutosikia wale wanaoliaga usiku
Hatosikia wanaoliaga usiku! Watu gani hao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom