Msaada: Sehemu nzuri tulivu ya kulala Morogoro

mdau mpya

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
471
636
Wasalamu wakuu.

Kesho naenda Morogoro, wenyeji wa huko au wenye ujuzi wa sehemu nzuri ya kulala kwa bajeti ya 25,000-30,000 na sehemu tulivu

Tujuzane.
 
kama ni morogoro mjini, nenda Dark City panda magari ya Mazimbu, ipo karib na Msamvu

kuna hotel like lodge bei ni 25k, kila kitu ndani, plus TOTOZ kali za SUA zipo karib , so hulali na nyege hata siku moja
Mmmhh! Eti totoz za SUA,
 
kama ni morogoro mjini, nenda Dark City panda magari ya Mazimbu, ipo karib na Msamvu

kuna hotel like lodge bei ni 25k, kila kitu ndani, plus TOTOZ kali za SUA zipo karib , so hulali na nyege hata siku moja
zisije leta covid mkuu
 
Kuna Lodges za Rombo, Rombo MontainView, Rombo new ziko vizuri sana. Zipo eneo linaitwa mji mkuu kama unaenda kwa mkuu wa mkoa
 
Sitasahau nilifika Moro usiku ili nisionekane mgeni nikamuomba dreva anipeleke lodge yoyote anayoijua basi muhuni yule kanipeleka Lodge kufika mapokezi namkuta muhudumu anadukuliwa na msela, nilichoka na wapogolo aisee
 
kama ni morogoro mjini, nenda Dark City panda magari ya Mazimbu, ipo karib na Msamvu

kuna hotel like lodge bei ni 25k, kila kitu ndani, plus TOTOZ kali za SUA zipo karib , so hulali na nyege hata siku moja
Morogoro unaijua kweli? Mazimbu ipo karibu na Msamvu?
 
Back
Top Bottom