YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Wezi wengi wa serikalini na CCM walioko dar walikimbiza pesa zao kujenga hoteli morogoro.Misemina mingi ya serikali wakawa wanapeleka hoteli za Morogoro ndio maana unaona nyingi sana.Baada ya Raisi Magufuli kukataa semina kufanyika mahotelini nyingi zinakufa kifo cha mende zimechoka hatariYaan kwa morogoro utapata za kumwaga maana kuna guest nyingi utafikiri nyumba za kuishi ,kila kona guest na sidhan kwa tz kama kuna mkoa wenye guest nyingi kuliko morogoro