dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
- Thread starter
- #61
Ahsante mkuu. May be baada ya kujifunza gun kwanza.Mi najitolea kukufundisha kutega mabomu na kuyarusha,uko tayari??
Ahsante mkuu. May be baada ya kujifunza gun kwanza.Mi najitolea kukufundisha kutega mabomu na kuyarusha,uko tayari??
Mmmmh !! jamani ulifundishwa na Alshabab!!Mi najitolea kukufundisha kutega mabomu na kuyarusha,uko tayari??
That's what am talkin' about. Ila kuna nyumbu hawaelewi hapa nazungumzia nini. Magreat thinker humu jf tumebaki wachache sana mkuu.Kila la heri Mkuu. Juzi bunduki ya Nassari imemsaidia kuwakimbiza waliotaka kuchukua uhai wake vinginevyo saa hizi angekuwa marehemu.
Mkuu usitake kujua nimefundishwa wapi nmejitolea kutoa mafunzo bureeMmmmh !! jamani ulifundishwa na Alshabab!!
Thanks mkuuMeserani Snake Park Arusha nafikiri wanamafunzo ya range kwa kutumia blank bullets
ha ha ha....!! kumbe umekuwa kocha ? basi nami najisajili ktk kambi lako..!!Mkuu usitake kujua nimefundishwa wapi nmejitolea kutoa mafunzo buree
Karibuha ha ha....!! kumbe umekuwa kocha ? basi nami najisajili ktk kambi lako..!!
Sasa nije na migobole na vigezo vipi.... ?Karibu
Migobole ya nin hamna tumbili huku,njoo na buti la kazSasa nije na migobole na vigezo vipi.... ?
ha ha ha.... !!! buti ntanuna siku ya mechi!!Migobole ya nin hamna tumbili huku,njoo na buti la kaz