Msaada: SEAP programme by ERB

Joined
Jan 5, 2021
Posts
21
Reaction score
13
Habari zenu jf members !

Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering.

Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya Engineers registration body (ERB).
Nimekuwa registered as Graduate Engineer by ERB kwa huu mwaka na kuwa accepted kufanya SEAP iliyo chini ya ERB.

1. Kama naweza pata connection ya kituo ambacho ikitokea kuna nafasi tafadhali itakuwa vema nikasaidiwa. Hii iwe rahisi kwa mie kupata placement ukiondoa utaratibu uliowekwa we candidate kutafuta au kutafutiwa

2.Kwa walio wahi kufanya program itakuwa vema nikapewa in summary yani vip program inavyofanyika kwa uzoefu wao, changamoto zake ni hatua zipi nzuri kufuata katik kulitimiza hili.

Asanteni na karibuni sana.
 

Utasaidiwaje wakati hujasema uko kwenye field gani? Au unataka tukufwate PM ndio useme?

Unapo andaa bandiko hakikisha umeweka taarifa kamili sio unaandika utazani unakimbizwa!!

Usitake watu waanze kuwa na wasi wasi na huo uinjinia wako.

Weka taarifa watu wenye connection wakusaidie sio unaficha ficha.
 
Asante kwa ukumbusho kiongozi.
 
Msaada kwa anaefahamu erb trainee allowance kiasi gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…