Msaada screen ya nokia lumunia 820

Msaada screen ya nokia lumunia 820

Umefanikiwa, kama bado nikupe personal namba ya muhusika kabisa, wako vizuri saaan midcom, nilisha badilisha hapo mara mbili lumia yangu 820.
Mkuu nina Lumia yangu 625 imepasuka kioo na kabla ilikuwa na tatizo la touch ku-stuck stuck,naomba msaada namba za jamaa kama bado unazo Midcom nikipiga simu inakata.natanguliza shukrani.cc Bakulutu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom