Msaada, Samsung ya kichina


A

Adm

Senior Member
Joined
Sep 19, 2010
Messages
149
Points
195
A

Adm

Senior Member
Joined Sep 19, 2010
149 195
habari wanajamvi, mimi nina simu ya kichina imeandikwa samsung,ni screen touch na unapoiwasha au kuizima inaleta animated word SMTEL. Hii simu nilifanikiwa kuiunganishia internet za zantel,vodacom na airtel kwa njia ya direct wap connections(ie wap phone model & send to 15300). Hivyo kwa kutumia built-in browser naweza kuingia kwenye web pages mbalimbali ikiwemo JF. msaada ninaouomba ni iwapo kuna mtu anafahamu link yoyote ambapo naweza kupata applications za simu particulary simu za kichina anisaidie ama maujanja yeyote juu ya simu za kichina. Naomba kuwasilisha
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
hamna apps zilizokuja na simu? Mara nyingi kama mchina anakubali apps basi zinakua java 240x400 ambazo ni adimu sana so far najua source moja tu yaani umnet.com.

But kabla hujaenda angalia je kuna app hata moja ipo ambayo unahisi ni ya java
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Points
1,225
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 1,225
Mi nnachojua simu zote za kichina zinafungwa very soon.Anza kuwekeza hela ya simu mpya
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,854
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,854 2,000
Mi nnachojua simu zote za kichina zinafungwa very soon.Anza kuwekeza hela ya simu mpya
kuna simu fake na simu za kichina hivi ni vitu viwili tofauti.

Tigo wanauza huawei, huyu ni manufacture wa kichina lakini hatengenezi vitu fake

voda wao wanauza zte nae huyu ni manufacture wa kichina

tuje google nae ana nexus 7 hizi zimetengenezwa na asus ni mchina kuna HTC nae mchina so ukisema ufungie mchina hapo utaua kila kitu
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,698
Points
1,250
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,698 1,250
Mimi sipendi mtu anayekuja hapa anaomba msaada kisha anatokomea kizani bila kufuatilia majibu ya wadau!
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,698
Points
1,250
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,698 1,250
Mi nnachojua simu zote za kichina zinafungwa very soon.Anza kuwekeza hela ya simu mpya
Mkuu binafsi sijasikia kama kuna simu zitafungiwa hivi karibuni(labda Kenya). Mimi nilichosikia waziri Mkoma akisema ni kuwa zoezi la kudhibiti simu fake hapa ketu limekuwepo tangu siku nyingi hata kabla ya Kenya kutanganza ule mkakati wake.

Lakini pia ninachofahamu,si kila kitu cha china ni fake,utakuwa unakosea. Mimi laptop ninayotumia hapa nimeinunua Finland few months ago lakini ni brand ya China.Inawezekana wewe ndio hujaelewa vizuri ama kuna watu wanapotosha ukweli ndugu yangu.
 

Forum statistics

Threads 1,296,625
Members 498,672
Posts 31,254,136
Top