Msaada wa kazi ya kujitolea kwenye makampuni ya simu

Msaada wa kazi ya kujitolea kwenye makampuni ya simu

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,175
Reaction score
3,221
Habarini za siku wakuu

Naombeni msaada wenu yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia kupata kazi ya kujitolea kwenye kampuni yeyote ya simu hapa nchini anisaidie

Iwe vodacom, tigo, airtel, zantel, hallotel au ttcl

Naombeni msaada wenu ndugu zangu

Nimesoma Information Technology
Level Degree
Nina uzoefu wa kazi kwenye mambo ya kutrack magari, na fleet za aina mbalimbali

Note: uko kote nilishatumaga cv ila sijawai kupata mrejesho wowote

Karibuni wakuu
 
Mkuu njia rahisi na nzuri nenda mwenyewe mtafute meneja au mkurugenzi utafsnikiwa.

Huko nyuma kabla sijaanza ujasiriamali, nilibeba vyeti vyangu straight kwa meneja Exim bank hawajatangaza kazi wala nini, nilivyoingia akaniambia hatuna appointment so he won't listen nikamjibu it worth to listen to me because he needs me. Alikua amazed na confidence yangu akanipa offer
 
Back
Top Bottom