Msaada Samsung S7 Edge..!!!!

Mkuu hata kwenye touch yake yaani una enjoy hii hapa iangalie
 
unamaanisha saphire? hawajaanza kutumia saphire bado, scratch zinapata hizi simu sema ni ngumu tu na anaetengeneza hizo glass ni corning zinaitwa gorilla glass, ni scratch resistant ila sio proof,

kuna sehemu nimeona wanaelezea hivi,

ugumu wa haya material kwa ohms upo katika scale ya 1 mpaka 10, 1 ikiwa laini na 10 ikiwa ngumu kabisa.

almasi yenyewe ndio ngumu ina score ya 10 na saphire inafuatia kwa karibu ikiwa na score ya 9.

hizi gorilla zenyewe zina score ya 6 ni ngumu na chuma hakiwezi kukwangua kama ulivyosema lakini kuna material ambayo yanakwangua yanaitwa quartz

quartz kwenye hio scale ya ohms yenyewe ina score ya 7 hivyo inakwangua gorilla,

quartz inapatikana kwenye vumbi, mchanga na kwengineko hivyo simu inapokuwa exposed kwenye quartz na zikakaa juu ya kioo kitu chochote kikikwaruza basi scratch zitapatikana iwe ni funguo, ukifuta na shati, mkono etc.

ndio maana watu wanatumia protector hasa tempered glass
 

huyu mtu anaonesha ni mtaalamu wa Rocks anasema saphire ni colored so ili iwe Transparrent kama glass wanamix na madini mengine (its like ALLOY in metal) although pia kwa upande wa Quartz sio zote zipo kwenye form ya kuweza kuScratch Glass.
 
Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,Galaxy S6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu ahsanteh
 

Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,galaxy s6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu. ahsanteh
 
Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,galaxy s6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu. ahsanteh

mkuu hapo s6 ndio nzuri zaidi, ila material yake ya glass na battery isiotoka angalia kama havitakukwaza.
 
Mkuu nje ya mada naulizia kwa hii NOTE 4,Galaxy S6,iphone 5s au hii ya TECNO ya camon cx ipi iko vizuri zaidi interms of camera,ram,battery life na fast charging kulingana na bajeti yangu ahsanteh
Galaxy s6 ina tick zote kasoro battery life. Battery life ya s6 ni shida. Ndio maana na suggest s6 edge, kidogo waliboresha battery life.

Note 4 kwenye ina battery size kubwa. Alafu its removable, unaweza tembea na spare, which is a plus. Pia ina SD card, kama wewe ni mtu wa mapicha picha, itakufaa. But camera ya note 4 is not as good as s6.

IPhone 5s, battery life rocks, its small in size but iOS wameoptimize vizuri utumiaji wa battery. Ina trump s6 kuleeee, but huwezi linganisha na removable battery ya Note 4. Camera, well its an iPhone, they never disappoint. Camera yake inatoa colours close to reality, haina kurembesha kama Samsung. Which is personal preference. Huwezi linganisha na s6 hata siku moja, but unaweza linganisha na Note 4. Kwa mtazamo wangu note 4 has a better camera than iPhone 5s. IPhone is an overall good phone kama wewe ni mtu wa point and shoot.

Tecno hiyo sina uzoefu nayo. Ningekusaidia. But kuna sababu kwanini Tecno yenye same specs as note 4 inauzwa half the price of note 4. Tecno itoe kwenye comparison. Sio league ya hizo simu nyingine.

Conclusion:
Mimi ningechukua s6 but naona battery itakuumiza sana. Note 4 is a good balance, pia iPhone 5s.
Between the two decide, screen size? Au wewe ni android or iOS? Mimi ningechukua note 4, ninayo iPhone 6s its amazing but napenda Samsung devices(android) That's personal preference. Naamini nimekusaidia kidogo.

-callmeGhost
 
Wanakuambia hivii ukubwa wa pixels sio ubora wa camera. Keep that in mind
 
Sasa nchi 5'8" ni ukubwa gani wakati ni standard....simu kubwa ni kuanzia 6'nch
 
Ahsanteh mkuu napenda gaming na picha kali sana hapo vipi mkuu ahsanteh
 
Ahsanteh mkuu napenda gaming na picha kali sana hapo vipi mkuu ahsanteh
Picha kali it subjective. Kuna watu wanaona iPhone ina good camera, kuna watu wanaona note 4 kali. Binafsi naipenda camera ya note 4, at some situations iPhone 5s ina toa vizuri.

Between games, naona Apple wana game nzuri. Pia zita run vizuri sana, since its an ecosystem. Sio kama android kuna games kwenye tecno hazitacheza vizuri kama kwenye HTC au Samsung. Utasikia app crashed, Mara not responding, Mara inachemka. But iphones, they run like a breeze. On this one, I give the crown to iPhone 5s.

Nikukumbushe. Kama unaweza samehe battery life, s6 is amazing.

-callmeGhost
 
Daah mkuu uko nondo sana aisee.ahsanteh sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…