Msaada Samsung S7 Edge..!!!!

Kila mtu anapenda vitu vizuri mkuu... S7edge naona ka tayari imeshapitwa na wakati... Hizi s8 mbili ziko powa kama unapendelea product za Samsung!! Bei zake Sasa ni ndo balaa
Kwa matazamo wangu, sijaipenda sana s8, since ni kubwa, na home button imeenda na maji. Sasa hivi fingerprint scanner ipo nyuma. Good thing about it is that, haina bezel kabisaaaaaaaa. Alafu video zitakuwa so weird.

Apart from its fancy design and little bump in specs. Its just another s7 with a bigger screen. Mi naona ni kama note 7 imefufuliwa tu. Kizuri wameadd kufungua simu na jicho lako
what a cool feature. Mimi mpenzi wa camera, hawaja renovate, zaidi ya kuweka 8MP mbele.

Niseme tu regular s8 ni 5.8' s8+ ni 6.2' yani hapo hata s7 edge hailingani na regular s8. That is too damn big. Unless kama were ni mpenzi wa big screens.

Tusubiri watu wazitumie kwa muda tujue mapungufu yake. Kwa mtazamo wangu s7 is again an amazing android for the 2016/2017 smartphone market. S8 ni big brother tu.

-callmeGhost
 
Binafsi sijazipenda sana, nilitaka kumpa mbadala mkuu ... Nasubiria kuona htc, OnePlus, Motorola na Sony watatuletea vitu gani hapo baadae! LG G6 inaweza kufaa pia
 
wadau naomba kujulishwa kuhusu ubora na mapungufu ya simu ya Samsung Galaxy S7 edge kwa waliobahatika kuzitumia maana ninaipenda sana na nina mpango wa kuinunua katikati ya mwezi May 2017 Mungu akinijalia uhai....natanguliza shukrani!!!
Ni simu mzuri sana ila tatizo dogo ni kuwa glass protector zake hazishiki vema
 
Binafsi sijazipenda sana, nilitaka kumpa mbadala mkuu ... Nasubiria kuona htc, OnePlus, Motorola na Sony watatuletea vitu gani hapo baadae! LG G6 inaweza kufaa pia
Aisee nimetoka kusoma reviews za s8. Duh! Wanaikubali sana. Sijaona negative reviews so far. Anyway, kwa sasa bei kubwa kama iPhone 7. Nitanunua ikitoka s9


Plus LG sipendi design zao. The last design that I liked, ilikuwa lg g4, darn, it even had a top notch camera. Lg G6 itafunika. But watu wengi tunafata brand names. Na zinazo hit ni, Samsung na iPhone.

-callmeGhost
 
angalia dimension miaka ya karibuni kioo hakitumiki tena kupima ukubwa wa simu.

- urefu (kwa mm)
s8 ni 148.9 wakati s7 edge ni 150.9

-upana(kwa mm)
-s8 ni 68.1 na s7 edge ni 72.6

hivyo s7 edge ni simu ndefu na pana compare na s8 japo s8 ina kioo kikubwa.
 
Vuta subira uchukue iphone8
Sidhani kama itatoka karibuni, wanatabia za kutoa 's' version. So iPhone 7s ndo next kwa prediction.

Ninayo iPhone 6s plus. Its a nice phone with status. Iphones simply work. They will last forever, hata ukiijaza ikabaki 100mb space, it will work like a breeze. Try that na android, unavyoijaza ndo performance inashuka. Sijashuhudia hili na s7, s6 na note 5. But hizi sijui Samsung s4, sijui htc m 8... Nyingi ukianza kujaza shida.

IPhone is a cool phone kwa non techs. I vote for it. If I had money to throw, i would get both the s7 edge and iPhone 7 plus.

-callmeGhost
 
Mkuu unafanyaje ili kuitambua samsung original??
 
Pia screen zao ni very delicate ila ni simu mzuri sana
Huwa screenProtector zinawekwa zaidi kwaajili ya kuzuia Scratches sio kuzuia screen isivunjike. Ukiangalia hizo simu wanatumia material ambazo ni impure/mixed ambazo zinakuwa na strength zaidi ya material nyingi ikiwemo chuma, ndo maana hata ukikwangua kwa kisu ,kisu ndicho kinaisha makali.
 
Usemayo nikweli mkuu maana mimi nimeamua kuitoa kabisa na screen haina mikwaruzo wala nini hii simu ni mzuri sana na kwa kamera ndio balaa
 
Usemayo nikweli mkuu maana mimi nimeamua kuitoa kabisa na screen haina mikwaruzo wala nini hii simu ni mzuri sana na kwa kamera ndio balaa
Mwanzoni nilidhani zile video za review ni za kuchakachua. Lakini kuna jamaa alinifuata na kama Galaxy S 3 au S4 kipindi hicho akanifanyia demo kwa kukwangua kwa ufunguo wa gari mzee niliamini. Kufuatilia kwa mtaalamu mmoja wa miamba na madini akanielewesha kuwa hawatumii pure glass. Bali ni glass yenye mchanganyiko wa madini mengine ambayo inakuwa ngumu ingawa haifikii almas ila chuma na mawe havioni ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…