Hili mwenyewe lilikuwa lina nisumbua.
Kumbuka camera ya note 5 ni kama ya s6, so its fantastic. Ila hapa kusikusumbue kivile maana s7 ina post processing sio ya nchi hii, utasema picha imepigwa na DSLR. Difference utaona kwenye big screen tho.
Note 5 ina s pen. S7 naamini unazungumzia ile ndogo, sio edge. Kwahiyo note 5 ni advantage kama wewe ni mpenzi wa kuandika notes... Kama upo chuo ni safi sana, overall kama your daily life ni kuandika short notes ipo poa. Kuna jamaa wangu, yeye s pen hatumii kabisa, anatoa kushowoff kwenye sherehe tu

.
Usisahau screen size. Kama unaongelea s7 tu amabayo sio edge. Jiulize unapenda 5.1' screen au 5.7'. Kama unapenda screen estate, chukua note 5. Zote zina resolution sawa, pixels note 5 inazo ndogo but hutaona difference na macho ya binadamu. So its not significant.
In terms of battery life, zote sawa. 3000mAH. Don't worry about that. Zote zina wireless na fast charging.
Kwenye note 5 unaweza kumulti task. Kwa maana ya kufungua apps mbili. Moja juu nyingine chini at the me time. Which is awesome. S7 huwezi unless its the edge. Note 5 ukinunua nakushauri uweke bundle la maana uupdate. Sababu ni; note 5 ilitoka na bad ram management. Yani kwa mfano ulikuwa unasoma kitu Google chrome, upo page ya 10, ukafunga, ukifungua unakuta inareload upya page 1

. But walitoa update amabayo ili fix hii. Wenzangu wanaotumia note 5 wanasema ipo poa now.
Note 5 sio water resistance. Lakini mimi naona hizi ni gimmicks tu. Utaingia na simu kupiga picha ndani ya swimming pool? I don't think so, chance ya kudondosha simu kwenye choo is 1/10. Its up to you. Kama wewe ni mtunzaji. S7 haina point.
Note 5 storage is not expandable. 64gb nyingi zilikuwa huko huko USA ni hazipatikani kirahisi. Unless kama unaagiza eBay. But mtaani sijui Samsung shop kuzipata ni bahati. Nyingi ni 32gb. Wakati s7 ni 32gb na unaweza kuweka SD card up to 200gb.
Maswali machache ya kujiuliza;
1. Unapenda picha amabayo ipo saturated? Ina chumvi nyingi kufidia zile 4MP. Jibu s7
2. Wewe ni mtu wa kuandika notes sana? Jibu note 5
3. 32gb haikutoshi? S7
My opinion; s7 is a nice phone. If money is not an object then get it kama unapenda big screen get the note 5. Its almost the same phone without the fancy features like water proof... More questions? Ask
-callmeGhost