Msaada Samsung j5 Network azisomi

Msaada Samsung j5 Network azisomi

baraka bb

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
2,690
Reaction score
3,903
Habari zenu wakuu
Samsung j5 inasumbua sana upande wa Network had ukae mjini kabisa ndi inasaport network japo bado inakuwa iko low sana tatizo limekuwa kubwa zaid hata data aiwaki Nino shida hapo wataalamu
 
Nilidhani tecno ndio simu zenye matatizo kumbe hadi samsung?
Hamia tecno huku mzee raha mustarehe.
 
Back
Top Bottom