Msaada Samsung Galaxy S4- GTI 9500

Msaada Samsung Galaxy S4- GTI 9500

Primitive

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
222
Reaction score
45
Nimenunua na kutumia kwa wiki moja na nusu tu. sasa hai detect simcard yoyote, vile vile ukijaribu IMEI inatoa null/null ni kama haina IMEI namba. tafadhali kwa anaejua tatizo.
 
Kama uko na warranty card rudi sehemu uliponunua. Kama ni magumashi basi kazi unayo. Hiyo IMEI pia inapatikana kwa nyuma kwenye battery bay
 
huyo mchina, hebu angalia internal memory kam inatosha, angalia pia kama motion ipo kweny setting. Kama havipo umeliwa
 
Poleeeeeee sana mkubwa......
Umeliawa
 
Hahaha hiyo Chinese mobile ni afadhali ungetafuta China mobile pole sana mkuu
 
Ha ha ha ha haaaaaaah teh teh teh teh teeeeeeeh! haya ndo madhara ya kutojua simu feki, umeliwa hapo, jipange tena
 
Mkuu Primitive

Njoo ujibu hoja naona uko na hasira
kwa kupigwa ulijua umepata bomba
la Samsung km bei unakumbuka
nitajie.. ...
 
Mkuu umenunua wapi? Wiki moja tu kama ni org inawarrant ya mwaka 1 uhitaji kuapaniki nenda uliponunulia tatizo lako litakwisha ebu bonyeza *1234# niambie imetokea nn?
 
Back
Top Bottom