kaka by any chance ulishawah kueka usb debuging on? kama hujui hata ni nini ipotezee.
umejaribu kuconect na pc inadetect?
Ipeleke kwenye maduka ya samsung kama upo mjini dar es salaam wik nzima hii sumsung wanatoa huduma kwa wateja wao
Tumia computer charger cable ili uingie kwenye desktop mode. Uangalie kama itarespond.
Wakati mwingine nahisi gadgets zinachanganyikiwa shauri ya kuwa overworked. Itoe betri uiache usiku kucha then asubuhi uiwashe.
Mkuu kwa ushauri wangu, Kuna uwezekano kwamba kuna app uliyoinstall ambayo inazuia simu kuwaka. Jaribu kuingia kwenye Recovery mode halafu uirestore factory settings. Hii imewahi kutokea kwenye android yangu.
Nimeunganisha yangu na pc na kubonyeza power+volume buttons....naiskia sauti tu kutoka kwenye pc kama vile kuna connection, lakini zaidi ya hapo hakuna kitu!
Ama kuna shock imetokea kwenye device yako, Tafuta fundi mtaalamu hapo eneo unaloishi akuchekie, Na maybe ni battery.Najaribu kubonyeja kitufe cha sauti+home+power haitikisiki labda kama kunanjia nyingine naomba unisaidie mkuu