Chacha Steven Mokiri
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 2,008
- 2,232
model yake ni ipi? cheki nyuma kweye batterykuhusu kutoa betri nimejaribu ila tatizo limekua worse naona michele michele kama Tv ambayo haina decorder wala dish alafu sikununulia bongo,mtu alikuja nayo alivokuepo ameenda africa kusini je naeza pia kwenda kubadilisha au
Secondary Li-ion batterymodel yake ni ipi? cheki nyuma kweye battery
Secondary Li-ion battery
Nominal voltage 3.8v =/6.84Wh
Charge voltage 4.35v =/1800mAh
1ICP5/52/62
Nyuma:
EB-BJ111ABE
S/N THIG826AS/2-B
Nategemea kusikia kutoka kwako karibuni.
Ngoja niangalie mkuu.hamna model ya simu? ipo kama hivi
sm-J500H
Ipo ni SM-J110H/DShamna model ya simu? ipo kama hivi
sm-J500H
mkuu hio ni J1 ace na sio j5.Ipo ni SM-J110H/DS
tatizo itakuwa LCD, je ukipigiwa ina ita? km ndiyo tatizo litakuwa display japo kuwa maelezo yako ni rahisi sidhani km unaeleza ukweli (utumie bila kudondoka ama kuminywa na kitu display isifanye kazi ?)kuhusu kutoa betri nimejaribu ila tatizo limekua worse naona michele michele kama Tv ambayo haina decorder wala dish alafu sikununulia bongo,mtu alikuja nayo alivokuepo ameenda africa kusini je naeza pia kwenda kubadilisha au
Ilianguka lakini zimepita wiki kama 3 ndo aya majanga yakatokea kwa ivo issue inaeza ikawa kioo na nikibadilisha itarudi hali yake ya kawaida sio?!Maana sauti za notification na calls zote zinasikika.tatizo itakuwa LCD, je ukipigiwa ina ita? km ndiyo tatizo litakuwa display japo kuwa maelezo yako ni rahisi sidhani km unaeleza ukweli (utumie bila kudondoka ama kuminywa na kitu display isifanye kazi ?)
itarudi hali yake ya kawaida tuIlianguka lakini zimepita wiki kama 3 ndo aya majanga yakatokea kwa ivo issue inaeza ikawa kioo na nikibadilisha itarudi hali yake ya kawaida sio?!Maana sauti za notification na calls zote zinasikika.
Kwa ivo niiache kwa siku kadhaa au nipeleke kwa fundi?!itarudi hali yake ya kawaida tu
kimesha haribika peleka kwa fundiKwa ivo niiache kwa siku kadhaa au nipeleke kwa fundi?!
Asante mkuu,Ntafanya ivo.kimesha haribika peleka kwa fundi