Msaada: Je, kuna boti ya kutoka Dar kwenda Pemba? Naweza kurudi siku hiyo hiyo?

Seeker Seeker

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
213
298
Habari wana JF !

Nimepata safari kutoka nilipo kwenda Dar then kwenda Pemba.

Naomba kujua kama kuna meli ya moja kwa moja kutoka Dar to Pemba? Na Nauli ni bei gani? Na pia inawezekana kwenda na kurudi siku hiyo hiyo?

Natanguliza shukrani.
 
Sidhani, maana hapo ni
Dar ->> Unguja ->> Pemba afu
Pemba ->> Unguja ->> Dar

Kama Bajeti inaruhusu kwa pipa utafanikiwa.
 
Zamani Ilikuwa Mv Sister Kutoka
Pemba ~Unguja ~Dar Es Salaam ~Tanga ~Mombasa
Hiyo Ni Go And Return


Ushauri Anzia Dar Es Salaam Ukifika Unguja Utapata Uelekeo
 
Back
Top Bottom