incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Jaman wakuu nimenunua Remote, Ila hazi acces devices zake, kuna Remote ya Abooda Tv na kuna remote ya Azam king'amzi, ila hazi acces nikibonyeza hazfanyi.
Je, kuna code yoyote natakiwa kuweka ili kuziruhusu kufanya kazi au nimepigwa?
Je, kuna code yoyote natakiwa kuweka ili kuziruhusu kufanya kazi au nimepigwa?