Msaada radio mfumo wa sauti kama picha ilivyo

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Nimetoka kununua kispika ila nashindwa kutoa sauti mashine mzima kabisa kama inaonekana hana upande wa flash inasoma ila sauti ndo shida spika yake ya zamani ilitolewa mwenye kujua tafadhali
1589912816333.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hii picha,maelezo sidhani kama vinamsaidia mtoa msaada kukutatulia tatizo lako,zaidi unamchanganya
 
Picha ina Giza sana na huo mkeka vinachanganya ipi speaker

Picha nyingine tafadhali....
 
Back
Top Bottom