C cheppe Senior Member Joined Sep 29, 2013 Posts 157 Reaction score 13 Jul 19, 2015 #1 Qsat yangu nilikuwa naangalia vizuri jana d*tv nikaizima kuiwasha badae inawaka inaonyesha logo ya qsat 28g vizuri ikitaka kuingia kwenye chanel tu inazima inaanza ku load upya ikifikia hapohapo tena inaanza tena msaada wenu jamani aksanteni
Qsat yangu nilikuwa naangalia vizuri jana d*tv nikaizima kuiwasha badae inawaka inaonyesha logo ya qsat 28g vizuri ikitaka kuingia kwenye chanel tu inazima inaanza ku load upya ikifikia hapohapo tena inaanza tena msaada wenu jamani aksanteni
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Jul 19, 2015 #2 cheppe Jaribu kuondoa simcard, then iwashe. Ikikubali kuwaka, basi tatizo niserver. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016