Msaada: Project Title using Visual Basic

komredi ngosha

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
382
71
Ndugu, kwa wale wajuzi wa Visual Basic nahitaji kufanya project ya chuo kwa kutumia hiyo language. Naomba mnisaidie title, shukrani !
 
Tengeneza simple Library system, una vitabu na una users, user anaweza kuchukua na kurudisha vitabu, unaweza ukaweka vitu kama limit ya vitabu vingapi user anaruhusiwa kuchukua kwa wakati mmoja, limit ya siku ngapi unaruhusiwa kukaa na kitabu, faini kama muda ukiongezeka etc. Inaweza kutuma email/SMS kumkumbusha user arudishe vitabu etc.
 
projects zote kama hii za management zinakataliwa, pia hawataki web based projects. Nimeshapeleka mara 2 na kukataliwa, last time wamenishauri nitoe title ktk IEEE ambapo binafsi nikizisoma hata sielewi
 
Mkuu unaweza kutuwekea hapa katika hiz proposal ulizopelaka tuone.

Mi nadhani Zinakataliwa sababu mnaandika project poposal
  • zilizoshandikwa tayari ( School, library Hospital )
  • Kwene proposal hamuonyeshi kama kuna unsolved problem kwenye area fulani ambayo haijapatiwa ufumbuzi na ni muhimu iwe adressed.
  • Hamuandiki wala kuconvice mtu faida ya proposal yako tofauti na nyingine zilizopita au zilizatangulia.
Kifupi zinakataliwa sababu Mkufunzi mzuri na makini anajua hutajifunza kitu sana sana utaishia kucopy kazi za watu.Zinakataliwa sabau ya Udhaifu wa documentation sio sababu project hazifai

Mfano mi najua naweza kuandika proposal inyohusu mamb ya web na bado ikaubaliwa .Mfano

  • CMS kama joomla, Worspress hazina languge pack ya kiswahili. So project inaweza kuwa Delevelloping Swahili Language pack kwenye chosen CMS. It sound simple but uifanya reseach utagundua ugumu wake na utaon ni kwa nini Kiswahili hakimo katika list ya CMS aribu zote.
  • Kutengeneza chat software yenye uwezo wa voice communication kwenye mobile divice
  • Unaweza kuiboresha hii hapo Juu ya chat ikawa ni project ya chat sofware ku communicate na Mobile device yenye IPv6 adress. unweza kuita ni project ya VOIP katika Ipv6
Sasa Tittle sio kazi kazi ni Documetation ya Proposal yako. Tukiona hata watanznaia kwenye real life project wahindi wanatupiga bao pamoja tatiz la rushwa ni kwamba tuna tatizo kwenye documentation

NB
Kumbuka Dhumuni kubwa la project nyingi za shule Sio Product bali ni Process. Mi nakumbuka nilifanya project ambapo Project document ilikuwa na na 60% na Poject Product ilikuwa na 40%. Sijui Hiyo project yako ikoje.

Mfano kuandika chat application inaweza kuonekana rahisi na zipo nyingi tu online lakini technical documenatin yake ya mambo kama Socket ,port , Security. Connection establishement and termination ndiyo yatafayya mkufunzi ajue kuwa kweli ulkifanya hiyo project utajifunza.

S
ababu kwenye documenation utakuwa umeeadika process na hatua utakazopitia na mambo utayofanya Pia Requirement Specifation inatakiwa kuwa part ya project proposal yako.

So at the end kitu unachoweza kudevelop kwenye VB kinaweza kisifanye kazi vizuri lakini As far as school project in concerned utakuwa umepata shule ya kukusaidia kwenye real life IT projects.

Good Luck
 
  1. Andika project proposal ya number plate recognition system for traffic management. Some ideas to implement barcode inputs, average speed (kwa usafiri wa mabasi au lorries),
  2. Andika project ya security system ambayo itatumia camera input na kusambaza hizo images (securely) to a central location. Hii iwe for a managed system ambapo operator anakuwa ana'manage multiple inputs (live footage) au unmanaged ambayo ina'record na kusave data tu.
Kama Mtazamaji alivyodokeza, documentation is key!
 
projects zote kama hii za management zinakataliwa, pia hawataki web based projects. Nimeshapeleka mara 2 na kukataliwa, last time wamenishauri nitoe title ktk IEEE ambapo binafsi nikizisoma hata sielewi

Hii ni kozi gani inakataa hizo zote? Labda ubandike description mliyopewa ya project wanazotaka ili tuelewe kinachoendelea. Maana ukitafuta IEEE utakuwa web based zipo na library management zipo, sasa naona kuna conflict kwenye requirements.
 
Back
Top Bottom