We si hua ni mzee wa matusi tu, nakukumbuka sana ulinitukania mama, baba, familia yangu yote kwa kua tu nilikwambia ukweli. Ulisema wewe ni genius, umeshindwa kutambua hiyo algorithm kama ni O(n^2) alafu ukasema nina IQ ya sijui mnyama gani? hehe acha utani, ni algorithm rahisi sana haiwezi kukushinda we genius hata siku moja.
Sasa ngoja mimi kilaza nikusaidie genius.
Code:
1. for P in range(0, N+1):
2. lowerBound = ArrayList[0:p]
3. upperBound = ArrayList[P+1:N+1]
4. if sum(lowerBound) == sum(upperBound):
5. EquilibrumIntegers.append(P)
angalia line 1, it runs n times, alafu line 4, it runs n times kwa kua umeita sum(lowerBound) na sum(upperBound) ambazo zote hizi zina run n times, hii ni sawa na kuandika nested for loops. Kwa kila P, sum function itarun n times, sasa kutoka 0 to n+1 si ni sawa na n^2?
Kumkamata mtu anayejifanya kua na majigambo hua ni rahisi sana, muache tu ipo siku atateleza, nilikua na ujinga kama wako wa kudharau watu ila angalau I didn't show it on the outside kutukana ovyo, mwisho wa siku nikajifunza kushirikiana na watu, now I am a better person living my dream. Punguza dharau dogo genius.