Msaada program ya virtual DJ Audio

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,393
5,518
Wakuu, kuna hii program ya Virtual DJ huwa naonaga sana inawekwa kwenye computer na autumika kwa kumix Audio. So naomba msaada jinsi ya kupata hii program ili niiweke kwenye simu yangu nitumie..

Nawasilisha..
 
Kwa simu za andriod zipo nyingi tu... nenda playstore utazikuta kule chagua inayo kufaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom