Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu
Asanteni kwa ushauri wenu najaribu hiyo torrent.Hahaha Mtazamaji mi nataka kuongeza ujuzi 2 na sio biashara
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu
Nimeijaribu hiyo torrent lakn sehemu moja ina nimakiza akili na kunitia hasira inaniambia Before hujadownload inatakiwa U sign up na nikisaiini up nakuwa sina visa card pale inapotaka ujaze namna utavyofanya payment
Wapi Drphone na calvin power toeni michango yenu
Asante Drphone nitajaribu hilo box maana hizi za kudownload ni balaa
Habari ma big supporterz wa JF tecnology and Science naomba yeyote mwenye kujua link ya kudownload calculator kwa ajili ya unlock code ya simu kama vodafone 135, Huawei T158 na nyingine nyingi. Aipost hapo. Karibu wana Jf, saluti kwenu
nimeshatoa wangu kazi kwako mkuu subiri wa cp na slave pia
kaka mkubwa simu za zte na huawei ujanja wake ni kuwa na infinity box tu.hata mimi kote huko nimepitia. lakini kama alivyo sema dr4ne kwamba dunia hii hakuna cha bure.ha!haha!ha!ha!h!aha!!!!! embu jaribu kutembelea hapa unaweza kujifunza kitu. unlockme.com: The Best Search Links on the Net