Msaada. Preliminary information bodi ya mikopo

Msaada. Preliminary information bodi ya mikopo

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,695
Wana jukwaa sasa ni wiki nzima nashindwa kufanya editing kwenye PRELIMINARY INFORMATION kipengele cha APPLICANT disability... nikijaribu kuweka NONE inagoma na kuandika OTHERS. Nimejaribu sana hata nilidhani ni tatizi la mtandoa ila nimefikia hatua ya kuamka saa 10 usiku kujaribu kuedit wakati server haina watu wengi lakini inagoma...

Naomba msaada wenu..maana vipengele vingine nimejaza ila hicho bado kinagoma...
33a2abc64dca8120552cd2eca9cc2b15.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheza napo apo ukijaribu kwa mda hivi zinakuja option nyingine
 
Back
Top Bottom