Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,223
- 998
Ipo maeneo ya posta mpya
Ahsante kaka kama ni posta pale pale haina shida napapata ikiyonichanganya n hyo posta mpyaPanda gari shuka Mnazi Mmoja,Panda tena gari za Kivukoni/Posta au tembea kama siyo mvivu kata mitaaaaaa tokezea Haidery Plaza Ukiiona Benjamini mkapa Tower inatizamana na Posta Mpya.Lakini hakuna cha posta mpya wala ya zamani ni Posta palepale tu.
Posta mpya ipo Maktaba Street na Posta ya zamani ipo sokoine drive.Kwahiyo aliyekuelekeza yupo sahihi.Ahsante kaka kama ni posta pale pale haina shida napapata ikiyonichanganya n hyo posta mpya
Panda gari za mbagala,wakushushe Posta mpya!Habarini wadau,
Leo nimepokea ujumbe ukinitaka nifike Posta Mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu, kwa bahati mbaya mi sio mwenyeji sana hapa Dar, naomba anayepafahamu ilipo Posta Mpya anielekeze.
Ahsante
PostayazamanHabarini wadau,
Leo nimepokea ujumbe ukinitaka nifike Posta Mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu, kwa bahati mbaya mi sio mwenyeji sana hapa Dar, naomba anayepafahamu ilipo Posta Mpya anielekeze.
Ahsante
Una tatizo kichwani, kivukoni ni ferry kwa wanaokwenda kigamboni.Ulizia Kivukoni,naamini ukifika Kivukoni utafika Posta mpya,na hautapasahau kamwe.
Hakuna Posta yenye majengo mapya, nimezaliwa Dar miaka ya 70's na tangu napata akili hayo majengo yapo. huo upya ni upya upi?ukiona majengo mapya ndio posta mpya ila ya zamani ina majengo mabaya sana
Nyinyi watu wa mashambani mna tabu sana, sasa mtu yupo Mwenge unamwambia apande gari ashuke mnazi mmoja kwani hakuna Coaster za Mwenge Posta kupitia palm beach?Panda gari shuka Mnazi Mmoja,Panda tena gari za Kivukoni/Posta au tembea kama siyo mvivu kata mitaaaaaa tokezea Haidery Plaza Ukiiona Benjamini mkapa Tower inatizamana na Posta Mpya.Lakini hakuna cha posta mpya wala ya zamani ni Posta palepale tu.
Daladala zote za Dar zina route ya Posta na Kivukoni?Panda daladala yoyote,mwambie konda naenda posta mpya...
Daladala zote za Dar zina route ya Posta na Kivukoni?[/QUOT
Namaanisha uwe na nauli ya akiba....