Msaada Posta Mpya iko maeneo gani Dar es Salaam?

Msaada Posta Mpya iko maeneo gani Dar es Salaam?

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
145
Habarini wadau,

Leo nimepokea ujumbe ukinitaka nifike Posta Mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu, kwa bahati mbaya mi sio mwenyeji sana hapa Dar, naomba anayepafahamu ilipo Posta Mpya anielekeze.

Ahsante
 
Mkuu pole, ungeeleza kwanza maeneo ulipo ili anayekuelekza akwambie uende upande gani au gari zipi upande!
 
Ulizia Kivukoni,naamini ukifika Kivukoni utafika Posta mpya,na hautapasahau kamwe.
 
Habarin wadau Leo nmepokea ujumbe ukinitaka nifike posta mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu ,kwa bahat mbaya m sio mwenyej sana hapa dar naomba anayepafaham ilipo posta mpya anielekeze
Ahsante
Posta mpya ni ofisi za shirika la posta mtaa wa Azikiwe, CBD.
 
ukiona majengo mapya ndio posta mpya ila ya zamani ina majengo mabaya sana
 
Kama upo Dar chukua TAX,BAJAJ AU BODABODA mwambie akupeleke Posta mpya.
 
Habarin wadau Leo nmepokea ujumbe ukinitaka nifike posta mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu ,kwa bahat mbaya m sio mwenyej sana hapa dar naomba anayepafaham ilipo posta mpya anielekeze
Ahsante
Iko Posta
 
Karibu kila kona ya dar utapata gari la kwenda posta, hivi umekosa mwenyeji wa kuuliza au
Habarin wadau Leo nmepokea ujumbe ukinitaka nifike posta mpya nikiwa na kitambulisho ili nipokee mzigo wangu ,kwa bahat mbaya m sio mwenyej sana hapa dar naomba anayepafaham ilipo posta mpya anielekeze
Ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom